Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 20 Mach 2025
Magazeti ya Leo Tarehe 20 March 2025
Sports News From Tanzania
Magazeti ya Leo Tarehe 20 March 2025
Urahisi na Uharaka: Ununuzi wa tiketi kwa kutumia Airtel Money ni rahisi na wa haraka. Huna haja ya kwenda kwenye vituo vya kuuza tiketi au kusimama kwenye foleni ndefu. Usalama:…
Jinsi ya Kununua Tiketi za Mpira Mtandao wa Vodacom M-PesaJinsi Ya Vodacom M-Pesa inatoa urahisi wa kununua tiketi za mpira bila usumbufu wa foleni ndefu. Ukiwa na simu yako tu,…
Viongozi wa matawi ya @yangasc na Wazee wa klabu hiyo mkoani Dodoma wametoa tamko kali wakimtaka Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), @tanfootball Wallace Karia, kuomba radhi…
TRANSFER NEWSTaarifa kutoka kwenye chanzo changu Cha kuaminika zinadai Paccome Zouzoua ana offer ya Al Ahly hivyo amewaambia Yanga wachukue hela sasa hivi au ataondoka Bure msimu ujao maana hataongeza…
Kikosi cha Timu ya Wanawake ya Yanga, (Yanga Princess) kimeiadhibu timu ya wanawake ya Simba, Simba Queens kwa kichapo cha bao 1-0 lililofungwa na Jeannnine Mukandayisenga katika Uwanja wa KMC…
VIDEO: Haji Manara Amrarua Vibaya Rais wa TFF Wallace Karia ”Usitumie Kiburi cha Uongozi, Ujinga na Utoto”
Bodi ya Ligi Kuu imeijibu klabu ya Yanga barua yake ambayo ilikuwa pamoja na mambo mengine inataka ipewe alama 3 na mabao 3 kwenye mchezo ulioahirishwa wa tarehe 8 Machi,2025.…
Haji Manara amefunguka kua klabu ya Yanga itaenda CAS kwa ajili ya kufungua kesi kudai Haki Yao ambayo imechukuliwa wakati wa mchezo wao na Simba wa March 8. Manara ameongeza…
MABAO mawili aliyoyafunga kiungo nyota mshambuliaji wa Simba, Jean Charles Ahoua, juzi katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Dodoma Jiji, unamfanya kunyatia rekodi mbili kwenye michezo minane iliyobaki ya Ligi…