Mwigulu Afunguka Bao Alilojifunga Mzize “Apongezwe”

Mwigulu Afunguka Bao Alilojifunga Mzize 'Apongezwe'

MHE. DKT. @mwigulunchemba Ametoa neno juu ya goli ililo fungwa timu ya taifa ya Tanzania

“Nimeona Maneno kuhusu MZIZE. Kwangu mimi, tumefungwa kwa sababu tumeshambuliwa, tumejifunga kwa sababu tumeshambuliwa. Mzize amejifunga kwa sababu alikuwa mahali pakuzuia. Kwangu mimi Mzize anatakiwa kupongezwa kwa kuwa Striker alierudi kuzuia.
TEAM WORK SPIRIT, OTHERWISE KONGOLE KWA TAIFA STARS, IT IS FOOTBALL.”
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *