Msimu Unaelekea Mwisho na Macho ya Usajili Yameanza, Yanga Bruno, Simba Akaminko

Endapo Yanga watampata Bruno kutoka Singida BS, basi watazidi kuimarisha Midfield yao na itazidi kuwa bora. 
Endapo Simba watampata James Akaminko ambaye ni kweli wanahitaji saini yake basi Midfield nayo itakuwa bora. 
Msimu unaelekea mwisho na macho ya usajili yameanza.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *