Msimamo Ligi Kuu Bara / NBC Premier League 2024 /25
Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Bara / NBC Premier League 2024/25 Standings & Standings.The NBC Premier League is a men’s professional football league in Tanzania, commonly known as Ligi Kuu Tanzania Bara.
Msimu wa 2024/2025 wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania umekamilika kwa kishindo, Yanga SC wakiibuka mabingwa kwa mara ya tatu mfululizo. Wanajangwani hao walimaliza kileleni mwa msimamo wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30, wakishinda mechi 26, wakitoa sare mbili, na kupoteza mbili pekee. Azam FC na Simba SC walimaliza nafasi ya pili na ya tatu mtawalia, zote zikiwa na pointi 69, huku Azam FC ikiwazidi Simba kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa.
Msimu wa 2024/2025 unatarajiwa kuwa na mvuto mkubwa zaidi, huku timu zikifanya usajili wa nguvu na kujiandaa kwa ajili ya kuwania taji la ubingwa. Je, Yanga SC wataweza kutetea ubingwa wao?
Mashabiki wa soka Tanzania wana kila sababu ya kutazamia msimu uliojaa msisimko, ushindani mkali, na mshangao mwingi. Ligi Kuu ya NBC 2024/2025 inaahidi kuwa msimu ambao hautakumbukwa tu kwa matokeo yake, bali pia kwa ubora wa soka litakalochezwa.
Msimamo wa Ligi Kuu Bara / NBC Premier League 2024/25
Ligi hii ilianzishwa mwaka 1965, kipindi hicho ikijulikana kama “Ligi ya Taifa”. Jina hilo lilibadilishwa kuwa “Ligi Daraja la kwanza” na tena ikabadilishwa kuwa Ligi Kuu mwaka 1997