Mshambuliaji wa Marumo Kuja Kuziba Nafasi ya Fiston Mayele Yanga

Published from Blogger Prime Android App
Mshambuliaji wa klabu ya Marumo Gallants raia wa Afrika Kusini, Ranga Chivaviro anatajwa na viongozi wa Yanga kuja kuchukua nafasi ya Fiston Mayele ambaye msimu ujao kuna uwezekano mkubwa akatimka ndani ya klabu hiyo
Ranga mpaka hivi sasa ameshapachika jumla ya mabao matano kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu sawa na Fiston Mayele wa Yanga
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *