MOHAMED SALAH amekuwa mchezaji wa tano tofauti katika historia ya Ligi Kuu ya England kushinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu zaidi ya mara moja, baada ya Thierry Henry, Cristiano Ronaldo, Nemanja Vidic na Kevin De Bruyne.
Posted inHabari za Michezo
Mfalme wa Misri
