Mchezaji Wa zamani Wa Simba sc Dejan anaongoza katika kinyanganyiro Cha mfungaji Bora uko Serbia 🇷🇸.
Na Hizi hapa ni Takwimu zake
🔹MECHI 38
🔹MABAO 30
🔹ASSIST 12
Amehusika kwenye Jumla ya Magoli 42 mpka sasa katika michezo 30.
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje