Mchezaji Mo Salah Ageuka Balaa Ulaya, Hakamatiki

Mchezaji Mo Salah Ageuka Balaa Ulaya, Hakamatiki

Mohammed Salah anahusika na bao kila dakika 67.4 kwenye mashindano yote akiwa na Liverpool msimu huu amepachika mabao 20 katika dakika 1,347 alizocheza uwanjani,kiwango chake bora zaidi cha dakika kwa bao au assist akiwa na timu ya Liverpool.

Vilevile Mohammed Salah ndiye mchezaji wa kwanza katika ligi tano bora Ulaya kufikisha tarakimu mbili za mabao na assist kwenye mashindano yote msimu huu.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *