Mchezaji Joseph Guede Asajiliwa Singida Big Star

Mchezaji Joseph Guede Asajiliwa Singida Big Star

Singida Black Stars, imemtambulisha Joseph Guede ambaye msimu uliopita alikipiga Yanga SC.

Msimu uliopita nyota huyo raia wa Ivory Coast, amefunga magoli sita (6) na assist mbili kwenye NBC Premier League, akitumia dakika 1032 kwenye mechi 17 alizocheza.
Kwenye CRDB Bank Federation Cup, Guede amefunga magoli mawili kwenye mechi tano alizocheza akitumia dakika 118.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *