Mchezaji Aziz Ki Ajiunga na Wydad Casablanca

Mchezaji Aziz Ki Ajiunga na Wydad Casablanca

Mchezaji Aziz Ki Ajiunga na Wydad Casablanca

Kiungo Stephen Aziz Ki anajiunga na timu ya Wydad Casablanca kwa ajili ya kucheza mashindano ya Kombe la Dunia la Vilabu (FIFA Club World Cup) ambayo yataanza Juni 15, Wydad Casablanca wanaanza mazoezi kesho Mei 19 na mechi yao ya kwanza wanacheza dhidi ya Man City Juni 18.

Wydad Athletic imefikia makubaliano kamili na Yanga SC kumsajili kiungo wao Mshambuliaji Stephanie Aziz Ki.

Taarifa zinasema Ki Aziz atawasili kesho saa 4 Asubuhi Casablanca Morocco kukamilisha Usajili wake wa kujiunga na klabu ya Wydad Athletic.

Kila la kheri Master KI umefanya makubwa Sana kwenye Burudani ya Soka.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *