Mchambuzi Wilson Oruma “Aziz K Anatia Aibu”

Published from Blogger Prime Android App
Maneno ya Mchambuzi Wilson Oruma
“Stephanie Aziz KI anaweza kufanya vitu vingi sana uwanjani, Lakini je unaweza Kumtegemea?”
“Jibu lake ni hapana,na hii ni aibu sana kwa mchezaji mwenye Kipaji kama Cha kwake”
“Akiwa na mpira huwezi Kumtegemea, anapoteza sana mipira.Sehemu ya kukimbia anatembea.Nabi yupo Sahihi”
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *