MCHAMBUZI AMSHANGAA KOCHA WA TAIFA STARS KUTOMWITA KELVIN JOHN

MCHAMBUZI AMSHANGAA KOCHA WA TAIFA STARS KUTOMWITA KELVIN JOHN
Kelvin Mbappe

Ameandika Mchambuzi wa Michezo Hans Rafael:

Anaitwa Kelvin John (21) anacheza Aalborg BK ya Denmark,ikumbukwe hii timu inashiriki Ligi kuu ya Denmark.

Kwenye mechi (13) Za mwisho Za Aalborg BK kijana amecheza mechi (11) na kufunga goli (2)

Nimeshangaa kuachwa kwenye kikosi cha Taifa Stars dhidi ya Congo DR.

Kocha Wa timu ya taifa anasema eti Kelvin Hana match fitness

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *