Kylian Mbappé amekuwa mchezaji wa kwanza wa Real Madrid kushinda tuzo ya mfungaji bora wa Ulaya (European Golden Boot) tangu Cristiano Ronaldo.
Mbappé pia ametwaa tuzo ya Pichichi kwa msimu wa 2024/25 kama mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uhispania (Laliga) baada ya kufunga magoli 31 manne mbele ya Robert Lewandowski.