Matokeo ya Simba Vs JKT Tanzania , Simba Wanapiga Kila Anaekuja Mbele yao
π πππ ππππ : NBC PL
JKT TANZANIA FC 1-2 SIMBA SPORTS CLUB
β½οΈ 60β Songo
β½οΈ 64β Nangu
β½οΈ 77β Sowah
Mechi ya kiume kweli kweli , mchezo umesimama mara 37 kupisha mipira ya kutenga [ Free kick]
JKT wamecheza faulo 20
Simba wamechesa faulo 17
