Matokeo Mshindi wa Tatu Azam na Singida Fountain Gate Leo, Ngao ya Jamii Haya Hapa

Dakika 90’ za mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu zimemalizika kwa Azam FC kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Singida FG .

Kwa matokeo haya maana yake Singida wamecheza mechi mbili bila kupata bao ! Azam FC wamemaliza kwa uwiano sawa walifungwa 2-0 dhidi ya Yanga leo wameshinda 2-0 dhidi ya Singida .
Mchezo ujao ni Simba SC VS Yanga matangazo yatakuwa LIVE CloudsFM
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *