Magori Aomba CAF Ichunguze Swala la Simba Kubadilishiwa Uwanja Fainali ya CAF…

Magori Aomba CAF Ichunguze Swala la Simba Kubadilishiwa Uwanja Fainali ya CAF…

Kupitia ukurasa wa Magori Mjumbe wa kamati kuu ya Simbasc ameandika haya

Hii inazidi kuwa KASHFA; Berkane alipanga hoteli mjini Zanzibar jana (14/5/25) saa 09 GMT; Simba ilipokea barua ya kupendekeza mabadiliko ya uwanja asubuhi ya leo (15/5/25)!! Inawezekanaje Klabu Mwenyeji na Shirikisho hawakufahamu uamuzi wa CAF kufikia jana lakini Berkane alikuwa amejua!!!!!! Je, Berkane alikuwa sehemu ya mchakato wa kufanya maamuzi wa CAF? Tukio hili haliwezi kupita bila kuangaliwa na chombo huru!! @cafclcc

ALSO READ | Sakala la Elie Mpanzu Kuwa Simba Kwa Mkopo, AS Vita Kumuuza Kwingine

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *