Leo maamuzi mengi ya mwamuzi Kefa Kayombo yamewanyonga sana Mashujaa FC.
Mara kadhaa Simba SC walikuwa wakinufaika na mipira ya Faulo ilihali ni miguso ya kawaida tu kiwanjani ila Kayombo alisikika akipuliza Kipyenga chake kuashiria madhambi.
Pasipo kupepesa macho Kefa Kayombo amechezesha chini ya kiwango na pengine wadau wengi wa Soka walibaki midomo wazi kustaajabu maamuzi yake.
Mpira uchezeshwe kwa kuzingatia na kusimamia sheria (17) za Soka sio kuweka matabaka baina ya timu moja na nyingine.
MCHAMBUZI wa michezo ameendelea kusisitiza kuwa, alichokifanya mwamuzi ni wizi na sio haki, Hans amesema.
.
“Miaka 1000 siyo penat ni Wizi, A handball offence is not committed when a player”
.
“Heads, kicks or plays the ball with another part of their body and it then hits their own hand/arm, Cross ya Zimbwe iliaanza kugusa (tumbo/kifua) la mlinzi wa Mashujaa how comes mwamuzi afunike penat??”