Kocha NABI Amtaka Mohammed Hussein ‘Tshabalala Kaizer Chiefs

Kocha NABI Amtaka Mohammed Hussein 'Tshabalala Kaizer Chiefs

Taarifa zinaeleza kuwa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini ambayo Kwa sasa ipo chini ya kocha Mohamed Nabi inaiwinda saini ya mlinzi wa kushoto wa Simba SC Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ raia wa Tanzania.

Inaelezwa kuwa Kaizer Chiefs wameanza kuwasiliana na Simba SC wiki iliyopita na Msimbazi wao wameshikilia Uzi kuwa nyota huyo wa timu ya hauzwi dirisha hili la usajili.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *