Kennedy Musonda anatarajiwa kujiunga na klabu ya Al Ittihad ya Libya kwa msimu ujao wa 2025-26 akitokea Yanga SC 🇹🇿
Taarifa ya ndani inaelezea kuwa Yanga hawana mpango wa kuendelea kubaki na mchezaji huyu
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje