JONAS MKUDE: SIJAWAHI KUMLOGA AUCHO

JONAS MKUDE ANASEMA “Sisi ni wachezaji na hata kama wote tunacheza namba moja Uwanjani haina haja ya kuleteana chuki kambini au mazoezini na sijawahi kumchukia mwenzangu Khalid Aucho hata kumroga kisa nipate namba sijawahi kiukweli hata Mungu anafahamu hilo.

Aucho mimi kwangu ni kama Kaka yangu najifunza mengi kutoka kwake hata tukiwa mazoezini na kama anapata namba mbele yangu Kocha yeye ndio anajua umuhimu wa mchezaji wake kumtumia kwenye mechi Uwanjani kwasababu yeye ndio mkuu wetu” Kiungo wa Yanga SC @jonasmkude20
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *