Kilimanjaro Imetolewa Mapinduzi CUP Bila Ushindi wa Goli Lolote, Inauma
Wawakilishi wa Tanzania bara timu ya Kilimanjaro Stars imemaliza mechi zake tatu za hatua ya makundi kwenye Mapinduzi Cup kwa kupokea vichapo vitatu bila kupata goli hata moja .
Mechi ____________3
Alama ____________0
Ushindi ___________0
Vichapo ___________3
Magoli ya kufunga ___0
Magoli ya kufungwa __5
π πππ ππππ :Mapinduzi Cup
TANZANIA 0-2 BURKINA FASO
β½οΈ 30″ Bagiuan
β½οΈ40″ Pitroipa