Hawa Ndio Wanaongoza Kwa Ufungaji Mabao Ligi Kuu Tanzania..
Mwaka 2024 ilikuwa hivi na 2025 nayo ipo hivyo :
🇰🇪 Elvis Rupia – 8️⃣
🇨🇮 Jean Ahoua – 7️⃣
🇹🇿 Clement Mzize – 6️⃣
🇹🇿 S. Mwalimu – 6️⃣
🇿🇼 Prince Dube – 5️⃣
🇨🇮 Pacöm Zouzoua – 5️⃣
🇨🇲 Lionel Ateba – 5️⃣
🇺🇬 Peter Lwasa – 5️⃣
🇹🇿 William Edgar – 5️⃣
Tukutane March 2025