Haji Manara Afungua Mdomo Baada ya Simba Kutolewa "Hapo Ndipo Mnapostahili Kila Mwaka"

Haji Manara Afungua Mdomo Baada ya Simba Kutolewa "Hapo Ndipo Mnapostahili Kila Mwaka"
Haji Manara Afunguka haya:

“Vile nikiwaangalia Makolo na Hadith za kufa kiume.kufa kufa, ukifia chooni umekufa ,ukifia kitandani pia umekwenda na Maji

Poleni sana Mwakarobo na hapo ndio mnapostahili kila mwaka” Haji Manara
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *