Game kati ya Yanga na KMC imemalizika usiku huu huku Yanga wakiondoka na ushindi wa bao moja lililopachikwa na Maxi Nzengeli, Rais wa Yanga Eng. Hersi Said leo ameonekana akiwa na aliyekuwa Mchezaji wa Club hiyo Fiston Mayele wakiangalia mchezo huo kwa pamoja…hii ina maana kuwa Fiston Mayele na yanga kwa sasa hakuna mauza uza tena, Jini limekimbia
Post You Might Like

Posted inHabari za Michezo
Hamza Ashutumiwa Kujifanya Kutumia Tena, Mashabiki Wampa Lawama
Posted by
By
SokaTanzania
May 18, 2025

Posted inHabari za Michezo
Ipashwe Kusema tu Simba Leo Kapelekewa Moto, Rs Berkana Wamekamilika
Posted by
By
SokaTanzania
May 18, 2025

Posted inHabari za Michezo
Feisa Salum Fei Toto Amesaini Katika Klabu ya Simba
Posted by
By
SokaTanzania
May 17, 2025

Posted inUncategorized
KIKOSI Cha Simba Vs RS Berkane Tarehe 17 May 2025
Posted by
By
SokaTanzania
May 17, 2025