FEISAL SALUM Amepokea Mkataba wa SIMBA Wenye Thamani ya Milioni 800

FEISAL SALUM Amepokea Mkataba wa SIMBA Wenye Thamani ya Milioni 800

HERE WE GO🎙Hii Leo FEISAL SALUM Amepokea Mkataba wa SIMBA SC Na Mambo yakienda Sawa Muda Wowote Kuanzia Hii Leo Atasaini Mkataba Na SIMBA SC, Mkataba Wenye Thamani ya Shilingi Milioni 800 Kama Ada ya Uhamisho Kutokea AZAM FC Na Mshahara wa Milioni 50 Kwa Kila Mwezi.”

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *