Taarifa za kuaminika zinaeleza kuwa tayari Feisa Salum FEI TOTO amesaini katika klabu ya Simba
Taarifa hizo zinaeleza kuwa Fei amechukua shilingi za kitanzania milioni 800 kama sign fee, pia atapata mshahara wa shilingi za kitanzania milioni 50 kwa mwezi, sambamba na bonus katika kila goli atakalofunga na assist atakayotoa!!
Taarifa Zinafafanua kuwa ni ngumu kwa Fei kucheza nje ya nchi kwa kuwa hawezi kukaa mbali na mama yake!!! Na suala la fei kucheza nje ya nchi litachukua muda sana, pia kutokuwa na uhakika na kocha Nabi kubaki Kaizer Chiefs msimu ujao kumechangia Fei kubaki Tanzania, Ni kweli Yanga walijaribu lakini hawakufanikiwa! !!!
Taarifa imehitimisha kwa kusema Safari hii Feisal ameichagua Simba