CAF confederation cup final

CAF confederation cup final


NI Jumapili ya kihistoria. Macho na masikio ya Afrika yapo Zanzibar. Baada ya kufungwa mabao 2-0 ugenini, Simba inalazimika kushinda kwa tofauti ya mabao matatu iwapo inataka kutwaa taji hili kwa mara ya kwanza.
Hata hivyo, kibarua hicho si kigeni kwa Simba kuamka kutoka kwenye maumivu na kujibu kwa kishindo, ilishawahi kutokea msimu huu hatua ya robo fainali ilipokuwa nyuma dhidi ya Al Masry ya Misri na kupindua kipigo cha mabao 2-0.
Katika hali ya hewa ya joto inayotabiriwa hadi jioni, Simba si tu inacheza dhidi ya Berkane inapambana na historia, na pia inapigania hadhi ya taifa mama TANZANIA.

Muda 16:00 jioni,Amani complex ZANZIBAR
Kila la kheri @simbasctanzania 🇹🇿
All the best @simbasctanzania 🇹🇿
tous mes vœux @simbasctanzania 🇹🇿

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *