Exclusive: Muda Wowote Kuanzia Sasa CAF Watatoa Adhabu Kwa Yanga Mchezo wa USM Alger

Published from Blogger Prime Android AppEXCL: Bodi ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) muda wowote itatoa adhabu kali ya faini na hata kifungo kutokana na makosa ya utovu wa nidhamu yaliyoripotiwa na USM Alger katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho ambao ulichezwa Dar es Salaam.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *