Eng. Hersi Said Apewa TUZO Kwa Mchango Wake wa Kuunganisha Vilabu Afrika

Eng. Hersi Said Apewa TUZO Kwa Mchango Wake wa Kuunganisha Vilabu Afrika

RAIS wa Klabu ya Yanga Sc na Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika [ACA), Eng. Hersi Said (@caamil_88) amepata tuzo kutoka World Football Summit [WFS], ya kuthamini mchango wake wa kuunganisha Vilabu vya Soka Afrika.

Tuzo hii imetolewa kwenye mkutano wa WFS, uliofanyika kwenye Jiji la Rabat, Nchini Morocco.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *