Kanuni mpya katika Kipengele cha ufungaji bora wa ligi kinasema, endapo Wachezaji wawili watalingana magoli basi mwenye idadi ya magoli machache ya penati ndio atakuwa mfungaji bora.
• Goli la Penati – Alama 1
• Goli la kawaida – Alama 2
Kwa kuwa Aziz Ki amefunga magoli mengi ya penati kumzidi Feitoto basi Fei atatangazwa kuwa mfungaji Bora msimu huu 2023-24.
FINAL GAME:
Yanga vs Prisons
Azam vs Geita Gold