Edo Kumwembe “Yanga Wanaona Mbali Kuliko Simba”

Edo Kumwembe "Yanga Wanaona Mbali Kuliko Simba"

Edo Kumwembe “Yanga Wanaona Mbali Kuliko Simba”

“Safari hii Simba wamedai kwamba Saido amechoka. Kwanini hawakuliona hili wakati Yanga walipokuwa wanamchukua na wao ndio walikuwa wanasema hili? 
Kwanini hawakuliona hili wakati baadhi ya watu wa Yanga walipolisema hili wakati wanaachana naye?
“Labda kwa kudharau kile ambacho Yanga walikuwa wanakisema kisha wao wakambeba huenda ndio ilikuwa ni miongoni mwa anguko la Simba na kupanda kwa Yanga katika miaka ya karibuni? Kwamba kwa miaka ya karibuni Yanga huwa wanaona mbali kuliko wao?” — Edo Kumwembe.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *