Edo Kumwembe : Nadhani Gamondi Alijisahau, Tanzania Nchi Tamu Sana

Edo Kumwembe : Nadhani Gamondi Alijisahau, Tanzania Nchi Tamu Sana

Nadhani Gamondi alijisahau. Raha zilimzidi kuliko kujali changamoto ambazo zilikuwa zinamkabili mbele yake. Huwa inatokea kwa wachezaji na makocha wengi ambao wanatua nchini na kufanya vizuri. Hakuna nchi tamu kuishi kama Tanzania. Maisha ni matamu. Maisha yana raha. Mashabiki nao wanaiangalia siku ya leo tu ambayo wametoka kushinda mechi.”

“Pale Zanzibar saa moja tu baada ya Yanga kuwafunga CBE, Gamondi aliungana na sisi kupata kinywaji. Hakuonekana kuijali tena mechi. Maisha yake yamejaa raha kwa sasa.”

Anasema Edo kumwembe

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *