Eddo Kumwembe : Mechi Inahairishwa Kwa Sababu za Kibwegebwege Sana

Mchambuzi ngulinwa Michezo nchini Tanzania Eddo Kumwembe kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika ✍🏿
“Tunawadharau sana wateja wetu…..mashabiki. Huwa wanatoka mbali sana. Wengine wengi wanatoka mikoani wanajichanga sana kuja katika hizi game. Football is about passion na soka letu linabebwa na passion zao. Kwanini tunawaacha Wakenya katika mpira kwa sasa ni kwa sasa ni kwa sababu ya passion za hawa jamaa….halafu game inaahirishwa kwa sababu za kibwegebwege tu. Imagine coaster inageuka inarudi Kahama bila fans kutazama mechi…..kisa? Kutunishiana misuli.
That’s why we love ENGLISH PREMIER LEAGUE”.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *