Coastal Union Yamtimua Kocha Mwambusi, Kuikabili Yanga Bila Kocha

Coastal Union Yamtimua Kocha Mwambusi, Kuikabili Yanga Bila Kocha

Coastal Union imemfuta kazi kocha Juma Mwambusi kutokana na mwenendo mbaya wa timu na kutoelewana na baadhi ya wachezaji
Aliondoka kambini jana usiku na amedumu kwa miezi 5 na nusu ndani ya timu hiyo
Kesho Jumatatu Coastal wataikabili Yanga pale KMC Complex
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *