Chama, Mkude na Okrah Hawakutakiwa Kusajiliwa na Yanga Hata Kidogo

Chama, Mkude na Okrah Hawakutakiwa Kusajiliwa na Yanga Hata Kidogo

 π—–𝗛𝗔𝗠𝗔, π— π—žπ—¨π——π—˜ , π—’π—žπ—₯𝗔𝗛 𝗛𝗔π—ͺπ—”π—žπ—¨π—§π—”π—žπ—œπ—ͺ𝗔 π—žπ—¨π—¦π—”π—π—œπ—Ÿπ—œπ—ͺ𝗔 π—¬π—”π—‘π—šπ—”.

β€œJonas Mkude, Clatous Chama na Augustine Okrah kiufundi hawakutakiwa kusajiliwa Yanga. Nafikiri ni mambo ya siasa tu, lakini hakukuwa na sababu ya kuchukua wachezaji wale.

Ukitazama position ya Chama pale Yanga walishaenea. Wako kina Pacome, Aziz na Maxi. Hawa walitosha kabisa na hakukuwa na kitu kinachomiss. Yanga walipaswa kwenda juu zaidi ya wachezaji hawa.”

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *