Posted inChama Soka la Bongo Trending News Chama Afunguka Sababu ya Kukosa Ubingwa Msimu wa Pili May 13, 2023No Comments Baada ya mchezo wa Simba dhidi ya Ruvu Shooting, kiungo mshambuliaji Clatous Chama ametoa Sababu za wao kukosa ubingwa kwa msimu wa pili mfululizo “Ni vitu vidogo vidogo tu, kuna wakati ni wachezaji wenyewe lakini pia kuna wakati ni vitu vya nje ya uwanja” Post navigation Previous Post Ahly Yatanguliza Mguu Mmoja Nusu Fainali Kama Yanga, Yaipiga EsperanceNext PostMwenyekiti Simba Aomba Radhi Mashabiki