Hawa Hapa Wachezaji Wanao Temwa na Simba Pia Watakao Sajiliwa
Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho ameanza kuhusishwa na mpango wa kusajili baadhi ya wachezaji ambao watakiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu, Kombe la Shirikisho na Michuano…