TETESI: Mastaa Pape Sakho na Moses Phiri Hawana Furaha Simba, Kisa Hichi Hapa
Naambiwa hapa; Mastaa kama Pape Sakho 🇸🇳 na Moses Phiri 🇿🇲 licha ya kutegemewa kutokana na ubora wao ila ni miongoni mwa wanaotajwa pia kutaka kuondoka kutokana na kutokuwa na…