Edo Kumwembe “Simba Imchukue Yule Kipa wa Marumo”
Wananchi anytime wanaweza kutinga fainali aisee….game tough ya marudiano lakini mbili nyingi…..hawa Gallants watu na nusu Yanga wawe makini lakini wana advantage kubwa…..achana na bao la Aziz na utundu wa…