Amri Kiemba “Njia Walizopita Congo Kimpira Ndio Nasisi Tunapita Huko Sasa”
Njia ambazo zimepita klabu za DR Congo na sisi ni kama tunapita hukohuko, tumewekeza sana kwenye vikosi kwa ajili ya kushindana lakini klabu bado zipo vilevile. Yani ndani ya uwanja…