JUST IN : Simba Kumfurumusha Kocha wa Viungo Kutoka South Afrika
JUST IN: SIMBA itafanya maboresho kwa kumuondoa kocha wa viungo, Kelvin Mandla kutokea Afrika Kusini kwa kinachoelezwa ameshindwa kuendana na kasi wanyoitaka katika eneo lake na inaelezwa huenda akarudishwa Adel…