Haji Manara Ampa Jonas Mkude Maua yake “Walikuita Mlevi Kukudhalilisha”
Kwa Perfomance yake ya jana ukiulizwa Mkude na Viongozi wa Madunduka nani Mlevi utajibu nini ? Alibakia kwa dakika zote tisini katika eneo lake hakusogea kuwahi Rebound wala hakwenda kupiga…