Kazini Kwa Aucho Kuna Kazi, Yanga Wamleta Mwamba wa Kugombania Namba nae
Klabu ya Yanga iko mbioni kumshusha nchini ‘mkata umeme’ (kiungo mkabaji) kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Onoya Sangana Charve, anayeichezea Klabu ya AS Maniema, ili kuongeza nguvu kwenye eneo…