Simba Bado Yakomaa na Saini ya Fei Toto
Simba Bado Yakomaa na Saini ya Fei Toto Mchambuzi wa masuala ya Soka, Hans Rafael kutoka Crown Media amesema kuwa Klabu ya Simba ipo kwenye mipango ya kuinasa saini ya…
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje
Simba Bado Yakomaa na Saini ya Fei Toto Mchambuzi wa masuala ya Soka, Hans Rafael kutoka Crown Media amesema kuwa Klabu ya Simba ipo kwenye mipango ya kuinasa saini ya…
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na aliyekuwa mshambuliaji wake Freddy Michael Koublan ambaye hakukidhi mahitaji ya kocha Fadlu Davies. Simba imefikia hatua hiyo…
Mafarao wa Misri walikamilisha Ligi Kuu yao wikiendi hii iliyoisha. Watu wa ajabu kidogo. Wakati duniani katika maeneo mbalimbali ligi zinaanza wao ndio wametamatisha ligi yao. Sijui wanatumia mfumo upi…

Huenda muda wowote kutoka sasa mshambuliaji Fred Michael Koublan akajiunga na USM Alger ya Ligi Kuu Algeria. USM Alger wanataka kumsajili Fred kama mbadala wa Leonel Ateba aliyetimkia Simba SC.…

Kocha Mkuu wa Klabu ya kaizer Chiefs ya nchini Afrika Kusini, Nasreddine Nabi ameitabiria makubwa Klabu ya Yanga akisema kuwa kwa uwezo walionao wachezaji wao na ubora wa benchi la…

Shirikisho la soka duniani (FIFA) limeitaka klabu ya Yanga kuilipa kiasi cha USD 80,000 sawa na Tsh Milioni 216 klabu ya Bechem United ya nchini Ghana, pesa ya malipo iliyosalia…