Mayele Atupia Mbili Aisaidia Pyramids Kutinga Fainali Ligi ya Mabingwa
Fiston Kalala Mayele amefunga magoli mawili na kuisaidia Pyramids kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Orlando Pirates katika dimba la…