BREAKING:Azam warejea tena kwa Mudathir

BREAKING:Azam warejea tena kwa Mudathir✍️

Azam wametuma ofa nono kwa kiungo wa Yanga,Mudathir Yahya Abas.

Ofa ya Azam ina mkataba wa miaka miwili na sign-on fee nono ambayo italipwa x2.

Mwishoni mwa msimu huu Muda atakuwa mchezaji huru kwani mkataba wake na Yanga unatamatika rasmi.

Azam wamechutama kwa Muda na wako tayari kumrejesha kijana wao ingawa siyo kazi rahisi kwani Yanga bado wanamuhitaji kiungo huyo.
Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *