Timu ya Yanga leo tarehe moja mwezi wa Saba imetangaza rasmi Mchezaji Clatous Chama Kujiunga na timu hiyo baada ya tetesi nyingi.
Yanga kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram wameandika haya :
“ππππππ @realclatouschama ni ππππππππππ° Karibu sana Jangwaniππ½
ππππ πππππππππ?”