Dakika chache zilizopita Yanga wametambulisha usajili wao wa kwanza kuelekea msimu wa 2023/24 .
Anaweza akacheza beki au hata winga akishambulia kwa pembeni, Nickson Kibabage amechagua kwenda klabu ya makombe na medali
Habari za Michezo Kutoka Tanzania na Soka la nje