![]() |
Prince Mpumelelo Dube Atambulishwa Yanga Rasmi…. |
Prince Mpumelelo Dube au ukipenda muite Mwana Mfalme ni mali ya Young Africans SC baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.
Dube ambaye ana uzoefu wa soka la Bongo akicheza kwa miaka minne, anaingia katika kikosi cha Yanga kuongeza nguvu eneo la ushambuliaji.