Aziz KI Mchezaji Bora wa mwezi Ligi Kuu

 

Kiungo wa Yanga, Stephen Aziz KI

Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Aziz KI ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa Ligi Kuu mwezi Aprili akiwashinda wachezaji Jean Baleke wa Simba na Ayoub Lyanga wa Azam FC.

Kwa upande wa makocha ni Abdallah Mohammed wa Mbeya City aliyeshinda tuzo hiyo.

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *